1. Naapa kwa Zama! 2. Hakika binaadamu bila ya shaka yumo katika khasara, 3. Ila wale walio amini, na wakatenda mema, na wakausiana kwa haki, na wakausiana kusubiri.